Jeshi la Uturuki lazidi kuimarisha usalama katika mpaka wake na Syria

Jeshi la Uturuki lazidi kuimarisha vikosi vyake mpakani mwake na Syria katika eneo la Idlib

Jeshi la Uturuki lazidi kuimarisha usalama katika mpaka wake na Syria

Jeshi la Uturuki lazidi kuimarisha vikosi vyake mpakani mwake na Syria katika eneo la Idlib

Jeshi la Uturuki lazidi kuimarisha vikosi vyake katika eneo la mpakani mwake na Syria na kuhakisha kuwa usitishwaji kwa muda wa mapigani unaheshiwa Idlib nchini Syria.

Jeshi la Uturuki linashiriki paia katika juhudi za kuhakikisha kuwa ghasia na mapigano yamepunguzwa.

Jeshi la Uturuki lilianza kutuma  vikosi vyake tangu Oktoba 8 kuhakikisha kuwa maeneo salama  Kaskazini mwa Syria  na usitishwaji wa mapigano utaheshimishwa.

Jeshi la Uturuki linfungua vituo vya uchunguzi Idlib huku jeshi la Urusi likiwa nje ya eneo hilo.

Jeshi la Uturuki katika eneo hilo ni kwa ajili ya kuchunguza makubaliano ya usitishwaji wa  mapigano baina ya wapinzani na jeshi la serikali ya Syria.

 

 


Tagi: Urusi , Idleb , Uturuki

Habari Zinazohusiana