Waziri Yıldırım azungumzia matatizo ya viza kati ya Marekani na Uturuki

Waziri Mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım amezungumza kuhusu matatizo ya utoaji viza kati ya Marekani na Uturuki

Waziri Yıldırım azungumzia matatizo ya viza kati ya Marekani na Uturuki

Waziri Mkuu wa Uturuki Binali Yıldırım amezungumza kuhusu matatizo ya utoaji viza kati ya Marekani na Uturuki.

Waziri huyo amesema kuwa tatizo hilo halitaongezeka na linatafutiwa ufumbuzi.

Kwa mujibu wa habari,waziri wa utamaduni  Numan Kurtulmuş pia amesema kuwa toka Uturuki ianze harakati za kuisaidia Syria,uhusiano wake na Marekani umeonekana kuingiliwa na doa.

Hata hivyo wafanyabiashara wakubwa nchini Uturuki wamelaani vilivyo mzozo unaoendelea sasa na kusema kuwa uchumi wa Uturuki na Marekani unaweza kuathirika pia.Habari Zinazohusiana