Semihanur Özan, achaguliwa kama mwalimu bora Uholanzi

Semihanur Özan, mwalimu mwenye asili ya kituruki ambaye anafundisha katikashule ya Ibni Sina, shule ya Kiislamu katika mji wa Rotterdam huko Uholanzi, alichaguliwa kama "mwalimu wa shule ya msingi wa mwaka".

Manispaa ya Rotterdam na wasimamizi wa shule waliandaa uchaguzi wa kuchaguwa mkufunzi bora zaidi katika mji na watu 5,800 walipiga kura kwenye tovuti rasmi wagombea 295 walishiriki.

Kamati ya mashindano, ambapo walimu hushindana katika makundi 6,  wagombea watatu wa kwanza walihojiwa ili aweze kupatikana mshindi.

Semihanur Ozan mwenye asili ya Uturuki aliibuka mshindi baada ya kuchaguliwa kama "mwalimu wa shule ya msingi wa mwaka".

 Habari Zinazohusiana