Meya wa Amsterdam Van Der Laan afariki dunia

Meya wa Amsterdam Van Der Laan aliyewahi kumpuuzilia mbali rais Putin,amefariki dunia.

Meya wa Amsterdam Van Der Laan afariki dunia

Meya wa Amsterdam Van Der Laan aliyewahi kumpuuzilia mbali rais Putin,amefariki dunia.

Kwa mujibu wa habari,meya huyo amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa saratani ya mapafu.

Ripoti zinaonyesha kuwa marehemu aliwaarifu wananchi kuhusi ugonjwa wake mnao mwezi Januari.

Meya huyo alijipatia umaarufu zaidi baada ya kutangaza hadharani kuwa hana muda wa kutosha kuonana na rais wa Urusi Vladimir Putin wakati wa ziara yake Amsterdam mwaka 2013.

Van Der Laan ameacha mke mmoja na watoto watano.

 Habari Zinazohusiana