Dunia yafumbia macho madhila ya Rakhine Myanmar

Dunia yafumbia macho madhila ya Rakhine Myanmar

Dunia yafumbia macho madhila ya Rakhine Myanmar

Dunia yafumbia macho madhila ya Rakhine Myanmar

waziri wa ustawi wa jamii na familia wa Uturuki Bi  Fatma Betül Sayan Kaya akishirikiana na mashirika yasikuwa ya kiserikali amesema kuwa ulimwengu umefumbia macho madhila ya raia wa Rakhine wanaotaabika Myanmar kwa kunyanyaswa.

Mashirika ya kujtegemea ya haki za wanawake pia yakemea ukimya kuhusu madhila ya Rohingya.

Watoto na wanawake wasikuwa na hatia yeyote wananyanyaswa na kuuawa bila ya hatia yeyote. 

Bi Fatma amesema kuwa kamwe Uturuki haituwatupilia raia wa Rakhine na kusisitiza kuwa Uturuki itazidi kuwa nao bega kwa bega.Habari Zinazohusiana