Azerbaijan yateua balozi mpya wa Uturuki

Azerbaijan siku ya Alhamisi imemteua Khazar Ibrahim kama balozi mpya wa Azerbaijan nchini Uturuki.

Azerbaijan yateua balozi mpya wa Uturuki

Azerbaijan siku ya Alhamisi imemteua balozi mpya wa Azerbaijan nchini Uturuki.

Kwa mujibu wa habari,Khazar Ibrahim ndie ameteuliwa kama balozi mpya mjini Ankara.

Ripoti zinaonyesha kuwa bwana Ibrahim alikuwa aliwahi kufanya kazi kama mwakilishi wa NATO na vilevile msemaji wa waziri wa mambo ya nje .

Mnamo mwezi uliopita,Azerbaijan ilitangaza kuwa balozi Faig Baigirov amemaliza muda wake wa kidiplomasia nchini Uturuki.Habari Zinazohusiana