Rais Erdoğan afanya mazungumzo na kiongozi wa kiroho wa Iran

Rais Erdoğan afanya mazungumzo na kiongozi wa kiroho wa Iran Ayatullah Ali Khamenei

Rais Erdoğan afanya mazungumzo na kiongozi wa kiroho wa Iran

Rais Erdoğan afanya mazungumzo na kiongozi wa kiroho wa Iran Ayatullah Ali Khamenei

Rais wa Uturuki Recep Tayyıp Erdoğan afanya mazungumzo na kiongozi wa kiroho wa Iran Ayatullah Ali Khamenei katika ziara yake rasmi nchini Iran.

Viongozi hao wamefanya mazungumzo kwa muda wa saa moja na dakika 10 katika ofisi za kiongozi wa kiroho wa Iran.

Mkutano wao haukuhudhuriwa na waandishi wa habari.Habari Zinazohusiana