Uchambuzi wa matukio, Myanmar

Ni yapi yanayojiri ncchini Myanmar

Uchambuzi wa matukio, Myanmar

 

Raia ndio wanaoathirika kwa kiasi kikubwa Myanmar, watu zaidi ya 3 000 kutoka jamii ya Rohingya  wamekwsiha uawa.

Ni mwaka 2000 mdipo nilipo tambua kuwa jamii ya rohingya ni jamii yenye watu wachache na waumini wa kiislamu.

Katilka kipindi hicho cha miaka ya 2000 kulitolewa ripotia mabazo ziltangazwa na vyombo vya habarş vya kimataifa kuwa  mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu vinatekkelzwa Myanma . ukandamazaji wa demokrasia na uhuru wa kufikiri vilisimamiwa na serikali ya Myanmar ambayo ilikuwa ni serikali ya unyanyasaji.

Nilijielekeza Myanmra kwa sababu za kikazi. Nilikwenda nchini humo licha ya kuwa serikali ilikuwa na mfumo mgumu ila niliweza kufanya kazi yangu ya uandishi wa habari bila ya matatizo makubwa.  Tuliweza kufanya mazungumzo na Bi Aung Saan Suu Kyi ambae muda huo alikuwa chini ya uchunguzi wa serikali ya Myanmar. Kwasasa Bi Suu Kyi ndie rais wa taifa hilo.

Au ng San Suu Kyi  alitmbulishwa na Magharibi na  shujaa wa demokrasia  ambae alikwa na ushirikiano na mrengo wa kushoto wa wazalendo.

Inaoneka kuwa Magharibi ilikuwa haijali ushirikiano huo na mrengo wa kushoto.

Mrengo wa kushoto uliaonzishwa katika miaka ya 30 na Hitler na unazi alipelekea vito vya watu mamilioni barani Ulaya.

Madhara na miziz ya unazi kwa mara nyingine yameibuka barani Ulaya.  Fikra za mrengo wa kushoto zimeonekana nchini Ujerumani katika vyama tofauti ikiwa  vyama vya mlengo wa kushoto aua mrengo wa kulia.

Waliğoendesha mauaji dhidi ya rohingya sio rohingya pekee yao ndio wanaoathirika na mauaji hayo bali ulimwengu mzima. Mashirika yote ya kimataifa ikiwemo Umoja wa Mtaifa yamelaani vikali mauj hayo na mataifa mengine kuwa kitu kimoja kupinga mauji na dhulma hiyo.  Licha ya mauaji hayo kuwalenga waislamu kutoka jamii ya Rohingya baadhi ya mataifa ya kiislamu yamefumbia macho suala la Myanmar kudhulumu waislamu.

Ni rais wa Uturuki Recep Tayyıpp Erdoğan pekee ambae alisimama kidete na kuoaza suati ili mmauaji yasitishwe na kujadiliwa katika mkutano wa Umoja wa mataifa.

Baadhi ya mashirika ya kutetea haki za binadanu pia yalifumbia macho  unyama uliotendeka nchini Myanmar dhidi ya waislamu kutoka jamii ya rohingya.

Leo ulimwengu wa Magharibi tayari umekwishatambulika kuwa huo unatetea kile ambacho unadau kuwa ni demokrasia na haki za binadamu sehemu ambayo kuna malengo na faida za kiuchumi.

Yaani ulimengu wa Magharibi huwa unatetea maeneo ambayo inaona kuwa zaidi kiuchumi.

Magharibi inaoneka kuharibu kile ambacho ilikitetea kwa muda mrefu, jambo hilo ni jambo la kusikitisha.

Magharibi ilioneka katika mauaji ya Boznia Herzegovina na matukio mengine kama  vile nchini Liberia ambapo raia waliuawa bila ya hatia.

Kukalia kimabavu Iraq na Afghanistan abaada ya tuhuma ambazo hazikuwa za kweli vile matukio yaliopelekea kuwaondoa viongozi katika mataifa ya kiarabu baada ya maandamano ya mageuzi.

Nchini Misri, mageuzi yasikuwa ya kidemokrasia yaliungwa mkono na Magharibi  licha ya Mohammed Morsi kuchaguliwa chini ya misingi ya demokrasia aliondolewa madarakani.

Jambo liingine ambalo linatakiwa kukemewa na jaribio la mapinduzi lililomlenga rais  wa Uturuki ambae alichaguliwa pia chini ya misingi ya demokrasia. Wanajeshi walishirikaina an wahaini kujaribu kupindua serikali ya Uturuki.

Maghari imeonekana kutoa hifadhi na kuwapokea wale ambao walisababisha kumwagika kwa damu za waturuki waliopigania demokrasia na taifa lao.

Wahaini wamepewa hifadhi katika mataifa ya Ulaya baada ya kutekeleza mauaji nchini Uturuki.

Hali inayojiri Myanmar ambapo raia wa jamii ya Rohingya wantaabika inafanana na ile ya Syria, Iraq na Libya.

Kiwango kikubwa na biashara inayohitaji usafiri kwa kutmia meli kuvuka eneo hilo. Eneo hilo kunapatikana gesi  na mafuta ambayo China inategemea pia katika kuimarisha uchumi wake. Iwapo eneo hilo litadhoofishwa na kukosekanakwa usalama basi China uchumi wake unaweza kuwa hatarini.

Waislamu wa jamii ya Rohingya wamedhulumiwa na kunyimwa haki kwa muda mrefu.Tangau Myanmar kujipatia uhuru wake waislamu kutoka jamiii hiyo  wamekuwa wakidulumiwa.

Mwaka 2010 mauaji ya Rohingya yalitambulika kama mauaji yanayolenga jamii mojawapo. Baadhi ya makundi hujinaasibu kutetea haki za Rohingya na kuendesha mashambulizi huku ikibainika kuwa baada ya matendo hayo ni rohingya wanaolazimika kuhama makaazi yao wakihofia kuuawa.

Eneo hilo ambalo limakaa kimkakati limeoonekana kuwa na matumaini kiuchumi.Habari Zinazohusiana