Polisi akamatwa  baada ya kuwaua wanamgambo wawili wa Daesh Iraq

Askari polisi mmoja akamatwa baada ya kuwamalizia maisha wanamgambo wawili wa Daesh Mosul nchini Iraq

Polisi akamatwa  baada ya kuwaua wanamgambo wawili wa Daesh Iraq

Askari polisi mmoja akamatwa baada ya kuwamalizia maisha wanamgambo wawili wa Daesh Mosul nchini Iraq

Jeshi la Polisi nchini Iraq limefahamisha  kumkatamata kamanda wa Polisi na polisi wengine wanna kwa kosa la kuwamalizi maisha  wanamgambo wa kundi la Daeshi.

Mwanamume mmoja na mwanamke  waliuawa na  Polisi  Mosul Kaskazini mwa Iraq.

Polisi hao baada ya kuwamalizia maisha watu hao waliwazika.

Uongozi wa jeshi la Polisi ulifahamisha kuwa jukumu na Polisi ni kuwakamata wahalifu na kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria.

Saad Yahya kiongozi  wa Polisi Ninivia amesema kuwa uchunguzi umeanzishwa ili kubaini chanzo cha tukio hilo.

Tagi: mosul , Iraq

Habari Zinazohusiana