Marekani na Uturuki yajadiliana kuhusu matukio ya kanda ya Mashariki ya Kati

Waziri Çavuşoğlu na mwenzake Tillerson wazungumzia kuhusu mzozo wa Qatar na matukio yanayoendelea Syria na Iraq

Marekani na Uturuki yajadiliana kuhusu matukio ya kanda ya Mashariki ya Kati

Waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu afanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Marekani Rex Tillerson .

Viongozi hao wawili walijadiliana kuhusu mzozo wa hivi karibuni wa Qatar pamoja na matukio yanayoendelea Syria na Iraq.

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari ni kwamba mazungumzo hayo ya simu yalifanyika jioni ya siku ya Jumamosi baada ya Tillerson kuomba kufanya mazungumzo hayo.

 Habari Zinazohusiana