Uturuki na Urusi kushirikiana katika ujenzi wa ndege za kivita

Mazungumzo baina ya Uturuki na Urusi kuhusu ushirikiano katika ujenzi wa ndege za kivita

Mkurugenzi wa shirika la umma sekta ya viwanda na ulinzi nchini Urusi Sergey Cemezoy amefahamisha kuwa  mazungumzo baina ya serikali ya Urusi na Uturuki kuhusu ushirikiano wa ulinzi wa anga nam iradi tofauti bado yanaendelea.

Mazungumzo hayo yanahusu ujenzi kwa ushirikiano wa ndege za kivita na ulinzi wa anga mfumo wa S-400 unaelekea katika makubaliano.

Mazungumzo hayo kwa sasa kwa mujşbu wa taarifa zilizotolewa  unalekea katika udhamini wa mradi huo wa ushirikiano.

Cemezov amesema kuwa Uturuki na Urusi zitafikia ushirikiano huo katika ujenzi wa ndege za kivita katika kizazi cha tan ona kuthibitisha kuwa Uturuki tayari imeonesha ushirikiano mkubwa.Habari Zinazohusiana