Swali La Mwezi

Swali la mwezi

Uturuki yasherehekea mwaka wa ngapi wa  siku kuu yake ya Jamhuri  mwaka 2018?

a)96

b)98

c)95

Watu watatu wa kwanza watakao jibu vema watapewa zawadi nono kutoka katika maktaba za Sauti ya Uturuki. Tunapokea majibu yenu hadi Novemba 30.

Tutumie jibu lako kupitia barua pepe  swahili@trt.net.tr au  kupitia sanduku letu la posta

Sauti ya Uturuki Idhaa  ya Kiswahili : BP 333, 06443 YENİŞEHİR, ANKARA, Turkey.


Jibu swali la mwezi