Mmoja miongoni mwa walioendesha shambulizi Nairobi ni mtoto wa mwanajeshi

Mmoja miongoni mwa  magaidi walioemdesha shambulizi la Nairobi ametajwa kuwa mtoto wa mwanajeshi

Mmoja miongoni mwa walioendesha shambulizi  Nairobi ni mtoto wa mwanajeshi

 

Mmoja  miongoni mwa magaidi walioendesha shambulizi la kigaidi mjini Nairobi  ambalo watu zaidi ya 20 wameuawa  ametajwa kuwa mtoto wa mwanajeshi .

Kijana huyo alieshiriki katika tukio hilo la kulaaniwa  amefahamika kwa jina la Ali Salim Gichunge .

Gazeti la Daily Nation la Kenya limetoa taarifa kwamba  mmoja miongoni mwa  magaidi walioendesha shambulizi  mjini Nairobi ni mtoto wa mwanajeshi wa jeshi la Kenya.

Jarida hilo limesema  kuwa  wazazi wa gaidi huyo  walizuiliwa kwa ajili ya mahojiano.

Ifahamike kuwa wanamgambo wa kundi la al Shaabab wamejinasibu kuhusika na shambulizi hilo.Habari Zinazohusiana