Kundi la Boko Haramu lapewa msaada kutoka nje

Muhammad Buhari  asema kuwa  ni wazi kwamba  wanamgambo wa kundi la Boko haramu wanapata usaidizi kutoka nje

Kundi la Boko Haramu lapewa  msaada kutoka nje

Rais wa Nigeria  Muhammad Buhari  asema kuwa  ni wazi kwamba  ni wazi kuwa wanamgambo wa kundi la Boko haramu wanapata usaidizi kutoka nje.

Rais wa Nigeria  akizungumza katika  kampeni za uchaguzi  mjini Abuja  amesema kuwa bila shaka wangambo wa kundi la Boko Haramu wanapata usadizi  kutoka nje nna Nigeria kwa sasa inahitaji silaha na vifaa vya vita kukabiliana na kuwatokomeza wanamgambo wa kundi la  Boko haramu nchini Nigeria.

Rais Buhari amesema kwamba bila shaka wangambo hao wanaoendesha mashambulizi na kusababisha maafa wanapata usaidi kutoka nje.
Zaidi ya watu 20 000 wameuawa  katika  mashambulizi ya Boko haram tangu miaka ya 2000.

Wanamgambo wa Boko haram  wameanza kushambulia hadi nje ya mipaka ya Nigeria  tangu mwaka 2015  ikiwa nchini Kamerun, Cha na Niger.Habari Zinazohusiana