Felix Tshisekedi atangazwa mshindi katika uchaguzi mkuu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Felix Tshisekedi, mgombea wa upinzani atangazwa na tume ya uchnguzi mshindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika Dİsemba 30 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Felix Tshisekedi atangazwa mshindi  katika uchaguzi mkuu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

 Felix Tshisekedi atangazwa kushinda  katika uchaguzi mkuu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Felix Tshisekedi, mgombea wa upinzani atangazwa na tume ya uchnguzi mshindi katika uchaguzi  mkuu uliofanyika Dİsemba 30 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Felix Tshisekedi atangawa na tume   ya uchaguzi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu uliofanyika  nchini humo Disemba 30.

Tume ya uchaguzi imematangazwa Felix  kuongoza  katika  matokeo ya kura ambazo tayari zimeheabiwa.

Kwa mujibu  ya taarifa zizlizotolewa na tume ya uchaguzi Felix Tshisekedi anaongoza kwa kupata asilimia  38,5 ya kura. 

Tshisekedi  amegombea kiti cha urais katika uchaguzi huo  kupitia tikiti ya chama cha (UDPS).

Felix Tshisekedi amefuatiwa nafasi ya pili na mgombea mwingine wa upinzani Martin Fayulu  ambae amepata asilimia 35,2 ya kura.

Ifahamike kuwa  jimbo la Beni, Butembo na Yumbi Mashariki mwa  Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yahakushiriki uchaguzi kutokana na tahadhari ya  ebola na  usalama mdogo.

Tume ya uchaguzi ilitangaza kwamna uchaguzi katika maeneo hayo utafanyika ifikapo Machi mwaka 2019.

Baba wa Felix Tshisekedi, Etienne Tshisekedi  aligombea kiti cha urais katika  uchaguzi  mkuu uliofanyika JK Kongo mwaka 2011 akigombea nafasi hiyo  Joseph Kabila.

Felix Tshisekedi ana umri wa miaka 55 akiwa na  watoto watano.Habari Zinazohusiana