Watu 17 wafariki baada ya jumba la ghorofa kuporomoka Nigeria

Watu 17 wafariki na wengine kadhaa wajeruhiwa baada ya jumba la ghorofa kuporomoka Kusini mwa Nigeria

Watu 17 wafariki baada ya jumba la ghorofa kuporomoka Nigeria

Waatu 17 wafariki na wengine kadhaa wajeruhiwa baada ya jumba la ghorofa kuporomoka  Kusini mwa Nigeria

Jumba la ghorofa laporomoka na kusababisha vifo vya watu 17 Kusini mwa Nigeria.

Jumba hilo la ghorofa ambalo limeporomoka lililkuwa na ghorofa 7.

Ajine Martins Udeinya , kiongozi katika  shirika linalohusika na matukio ya dharura NEMA  nchini Nigeria   amesema kuwa watu 17 ndio waliofariki katika  tukio hilo  na wengine  kadhaa wamejeruhiwa.

Shughuli ya uokoaji bado unaendelea katika eneo la tukio .

Jeshi la Polisi kwa upande wake limesema kuwa  tayari limekwishawatianguvu wahandisi waliosimamia ujenzi wa nyumba hiyo kwa ajili ya kuchunguza  vifaa vya ujenzi walivyotumia kama vilikuwa na ubora na viwango kama sheria inavyofahamisha nchini Ngeria.


Tagi: ajali , Nigeria

Habari Zinazohusiana