Janga na maafa ya wahamiaji katika bahari ya Mediterania

Safari za wahamiaji zaendelea kusababisha katika bahari ya Mediterania

Janga na maafa ya wahamiaji katika bahari ya Mediterania

Safari za wahamiaji  zaendelea kusababisha katika  bahari ya Mediterania

Shirika la kutetea haki za wahamiaji limtangaza kuwa wahamisha 12 wamefariki na weingine kadhaa hawajulikani walipo  baada  ya mashua yao kuzama katika bahari ya Mediterania.

Tangazo hilo la shirika la kutetea haki za wahamiaji  katika mji wa Misrata nchini Libya limekuwa likitoa  msaada kwa wahamiaji waliokuwa wamegoma katika  mashua iliowaokoa.

Wahamiaji waliookolewa wamepelekwa katika kituo cha wahamiaji huku watu wengine wanne wamepelekwa mjini Tripoli baada ya kushukiwa kuwa wahusika wa kupanga safari hizo kinyume cha sheria.

Wahamiaji haramu wanatumia fukwe za Libya kama mlango wa kuanza safari haramu kuelekea barani Ulaya.Habari Zinazohusiana