Mabaki ya tumbili yapatikana Kenya

Mabaki ya tumbili mdogo zaidi aliyeishi miaka milioni 12.5 yamepatikana nchini Kenya.

Mabaki ya tumbili yapatikana Kenya

Mabaki ya tumbili mdogo zaidi aliyeishi miaka milioni 12.5 yamepatikana nchini Kenya.

Kulingana na jarida la kisayansi nchini Kenya, mabaki ya tumbili yamegunduliwa katika milima ya Tugen katikati ya nchi  hiyo.

Wanasayansi wamegundua kuwa mabaki hayo ni ya tumbili mdogo zaidi ulimwenguni.

Watafiti wamekuwa wakifanya uchunguzi huo tangu 1960.

Tagi: tumbili , Kenya

Habari Zinazohusiana