Watu 10 wafariki katika ajali ya barabarani   nchini Sudan

Watu 10 wafariki dunia katika ajali ya barabaran iliotokea mjini Khartum nchini Sudan

Watu 10 wafariki katika ajali ya barabarani   nchini Sudan

Watu 10 wafariki dunia katika ajali ya barabaran iliotokea mjini Khartum nchini Sudan.

Watu 10 wafariki  katika ajali  iliotokea katika barabara  inayounganisha  mji wa Khartoum na Rabak nchini Sudan.

Magari mawili ya uchukuzi yamegongana  Alkhamis  Kusini mwa jiji la Khartoum na kusababisha vifo vya watu 10 na kuwajeruhi wengine 21 Kusini mwa jiji la Khartoum katika barabara inayounganisha Khartoum na Rabak.

Taarifa kuhusu watu  idadi ya watu waliofariki imetolewa na mkurugenzi  mmoja katika ofisi ya wizara ya afya Kusini mwa Sudan.

Tangu mwaka  2016 hadi Machi mwaka 2017 watu 2366 wamefariki katika  katika jali za barabarani nchini Sudan.Habari Zinazohusiana