Wagombea watatu wa upinzani Kamerun waomba kufutwa kwa uchaguzi

Wagombea watatu  wa upinzani  waomba kufutwa kwa  uchaguzi uliofanyika nchini Kamerun

Wagombea watatu wa upinzani Kamerun waomba kufutwa kwa uchaguzi

Wagombea watatu  wa upinzani  waomba kufutwa kwa  uchaguzi uliofanyika nchini Kamerun.

Wagombea watatu wa upinzani katika uchaguzi mkuu uliofanyka nchini Kamerun waomba kufutwa kwa uchaguzi  kwa madai kuwa uchaguzi huo  haukuwa wa haki na kujawa na udanganyifu. 

Taatifa kuhusu  ombi la wagombea hao imetolewa na vyomba vya habari Ijumaa nchini Kamerun.

Uchaguzi nchini Kamerun amefanyika Jumapili wiki iliopita.

Maurice Kamto, Joshua Osih Cabral Libii wamewakilisha nyaraka  zao  Alkhamis  katika ofisi za baraza la katiba wakiomba kufutwa kwa uchuguzi uliofanyika nchini Kamerun.

Kamto alijitangaza kushinda katika uchaguzi muda mchache baada ya  vituo vya kupigia kura kufugwa. Wagombea  hao wameomba kufutwa kwa uchaguzi katika  majimbo 7 kati ya majimbo 10.Habari Zinazohusiana