Makamu wa rais wa Uturuki akutana na rais  Issoufou Majamadou wa Niger

Rais wa Niger  Mahamadou Youssoufou akutana na  makamu wa rais wa Uturuki Fuat Oktay mjini Malabo Guinea ya Ikweta

Makamu wa rais wa Uturuki akutana na rais  Issoufou Majamadou wa Niger

Rais wa Niger  Mahamadou Youssoufou akutana na  makamu wa rais wa Uturuki Fuat Oktay mjini Malabo Guinea ya Ikweta

Makamu wa rais wa Uturuki Fuat Oktay amekutana na  rais wa Issoufou Mahamadou wa Niger.

Viongozi hao wamezungumzia kuhusu ushirikiano kati ya Uturuki na Niger.

Viongozi hao wamekutana mjini Malebo nchini Guinea ya Ikweta.

Makamu wa rais wa Uturuki  alijielekeza mjini Malabo  kushiriki katika hafla ya maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wa  Guinea Ijumaa.

Makamu wa rais wa Uturuki amefanya mkutano huo na rais Mahamadou  wa Niger bila ya waandishi wa habari kushiriki.Habari Zinazohusiana