Al-Sissi:"Vuguvugu la Muslim Brotherhood halitokuwa na jukumu lolote iwapo nitakuwa madarakani"

Abdel Fattah al –Sisi rais wa Misri asema kuwa vugvugu la  Muslim Brotherhood halitokuwa na jukumu lolote  wakati ambapo atakuwa bado yupo madarakani

Al-Sissi:"Vuguvugu la Muslim Brotherhood halitokuwa na jukumu lolote iwapo nitakuwa madarakani"

Abdel Fattah al –Sisi rais wa Misri asema kuwa vugvugu la  Muslim Brotherhood halitokuwa na jukumu lolote  wakati ambapo atakuwa bado yupo madarakani.

Rais wa Misri Abdel Fattah al Sisi katika mahojiano aliofanya katika kituo kimaoja cha habari cha Kuweit amesema kwamba vuguvugu la Muslim Brotherhood halitokuwa na ukumu la ana yeyote ile kipindi ambapo atakuwa bado yupo madarakani.

Mahojiano hayo   na rais wa Misri yalifanyika Ijumaa katika kituo cha habari cha jarida la al Shaheb na kunukuliwa pia na jarida la Misri la serikali  la Akhbar al-Yawm.

 Al sisi katika mahoiano hayo alisema kuwa Misri haitokubali vuguvugu la Muslim Brotherhood kurejea madarakani.

Mohamed Morsi  alikuwa rais wa kwanza Misri kuchaguliwa asiekuwa mwanajeshi katika uchaguzi wa kidemokrasia  na mwanachama wa Muslim Brotehrhood.

Morsi aliondolewa madarakani Julai 3 mwaka 2013 wakati ambapo Al Sisi alikuwa waziri wa ulinzi.

Vuguvugu la Muslim Brotherhood limeorodheshwa miongoni mwa makundi ya kgaidi na Misri na milki  na mali zake kutaifishwa.Habari Zinazohusiana