Victoire Ingabire, kiongozi wa zamani wa upinzani Rwanda apewa msamaha wa rais

Victoire Ingabire  apewa msamaha wa rais  nchini Rwanda akiwa na  wafungwa wengine 2140

Victoire Ingabire, kiongozi wa zamani wa upinzani Rwanda apewa msamaha wa rais

 

Rais wa Rwanda Paul Kagame ametumia uwezo wake wa kikatiba kuwaacha huru  wagungwa 2140 waliokuwa wamehukumiwa  adhabu ya kifungo kwa makosa tofauti.

Miongoni mwa  wafungwa walioachwa huru yumo muimbaji Kizito Mihingo na mpinzani wa zamani Victoire Ingabire ambae alikuwa amehukumiwa  kifungo cha miaka 15 tangu mwaka 2010.

Kizito Mihito  alikuwa amehukumiwa adhabu ya kifungo ya miaka 10.Habari Zinazohusiana