Kansela wa Ujerumani kufanya  ziara nchini Algeria

Kansela wa Ujerumani  Angela Merkel  atarajiwa kufanya ziara  nchini Algeria

Kansela wa Ujerumani kufanya  ziara nchini Algeria

Kansela wa Ujerumani  Bi Angela Merkel atarajiwa kufanya ziara nchini  Algeria  Juma lijalo.

Kulingana na taarifa zilizotolewa na  jarida la APS, Bi Angela Merkel atafanya ziara nchini Algeria baada ya kupewa mualiko na rais Abdelaziz Buteflika.

Jarida hilo limeendelea kufahamisha kuwa  Bi Merkel atafanya mazungumzo na waziri mkuu Ahmed Ouyahia.

Katika ziara hiyo Bi Angela Markel na viongozi wa nagazi za juu nchini Algeria watazungumzia kuhusu ushirikiano  katika sekta ya uchumi  kati ya mataifa hayo mawili.

Zaidi ya makampuni  200 kutoka nchini Ujerumani  yameweleza nchini Algeria.Habari Zinazohusiana