Mapigano nchini Mali

Zaidi ya watu elfu hamsini wamehamishwa makazi yao kutokana na mapigano nchini Mali.

Mapigano nchini Mali

Zaidi ya watu elfu hamsini wamehamishwa makazi yao kutokana na mapigano nchini Mali.

Kulingana na vyombo vya habari nchini humo,mapigano kati ya wanamgambo wenye silaha na vikosi vya jeshi yamepelekea maafa makubwa katika nchi hiyo yenye watu takriban milioni 20.

Mapigano yameendelea licha ya mkataba wa amani uliosainiwa mwaka 2015.

Mauaji na ugomvi wa kikabila umesababisha watu katika maeneo ya Bamako, Kidal, Menaka, Gao, Tumbuktu Taoudenit, Mopti na Segou kuyahama makazi yao.


Tagi: Mali , Mapigano

Habari Zinazohusiana