Watu 6 wameuawa katika shambulizi la kujitoa muhanga mjini Mogadishu

Watu 6 wameuawa na wengine 16 wamejeruhiwa katika shambulizi la kujitoa muhanga  mjini Mogadishu nchini Somalia

Watu 6 wameuawa katika shambulizi la kujitoa muhanga mjini Mogadishu

Watu 6 wameripotiwa kufariki na wengine 16 kujeruhiwa katika  shambulizi  la kujitoa muhanga lililoteka mjini Mogadishu nchini Somalia.

Shambulizi hilo la kujitoa muhanga limetekelezwa na mtu mmoja aliekuwa katika  gari lililokuwa limeshhehni vilipuzi.

Shambulizi hilo limelenga  ofisi za ktangoji cha Hodan.

Mlipuko uliotokea  katika tukio hilo umeathiri kwa kiasi kikubwa  majengo karibu na eneo la tukio.

Wanamgambo wa kundi la al Shabaab wanashukiwa kuhusika na shambulizi hilo.Habari Zinazohusiana