Wagombea 36 wa kiti cha urais wakiwemo marais watatu wa zamani Madagascar

Wagombea 36 wa kiti cha urais wakiwemo marais watatu wa zamani Madagascar

Wagombea 36 wa kiti cha urais wakiwemo marais watatu wa zamani Madagascar

Marais watatu wa zamani nchini Madagascar kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu Novemba 7  wakati huo huo rais aliemadarakani ametangaza kujiuzulu ili aweze pia  kushiriki katika uchaguzi, kwa kuwa katika nchini humo haimpi ruhusu rais aliemadarakani kuwania kiti cha urais hadi ajiuzulu siku 60 kabla ya tarehe  iliopangwa kufanyika uchaguzi .

Marais wa zamani wanaogombea kiti cha urais katika uchaguzi ni  Andry #Rajoelina ambae aliongoza mwaka 2009 hadi  mwaka 2013, Marc Ravolamanana (2002 -2009) na  Didier Ratsiraka  ambae ana umri wa miaka 81, Ratsiraka aliongoza Madagascar (1975- 1993) na (1997 -2002).Habari Zinazohusiana