Mkurugenzi wa mradi wa bwawa “Ennahdha” ajiua Ethiopia

Mkurugenzi wa mradi wa bwawa  la mabadiliko « Ennahdha”ajiaua  kwa kujifyatulia risasi Ethiopia

bekele b.jpg
Bekele.jpg

Mkurugenzi wa mradi wa bwawa ambalo ni mradi muhimu nchini Ethiopia amejiua kwa kujifyatulia risasi  mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.

 Mkurugenzi Simegnew Bekele amejiua kwa silaha yake mwenye aliokuwa akimiliki.

Tukio hilo limethibitishwa na jeshi la Polisi  kwa kufahamisha kuwa limetokea Ijumaa.

Bekele amejifyatulia risasi akiwa katika gari lake.

Jeshi la Polisi limefahamisha kuwa uchunguzi umeanzishwa ili kubaini chanzo cha tukio hilo.

Katika taarifa za mwanzo zilizotolewa na jeshi la Polisi ni kwamba Simegnew alikuwa akimiliki bastola hiyo tangu miaka 9 iliopita.

Bekele amefariki akiwa na umri wa miaka 53.

Bwawa hilo lina umuhimu  kwa Misri na Ethiopia.Habari Zinazohusiana