Ethiopia yafungua ubalozi wake nchini Eritrea baada ya kufungwa miaka 20 iliopita

Ubalozi wa Ethiopia wafunguliwa upya mjini Asmara  baada ya kufungwa miaka 20 iliopita

Ethiopia yafungua ubalozi wake nchini Eritrea baada ya kufungwa miaka 20 iliopita

Ubalozi wa Ethiopia wafunguliwa kwa mara nyingine nchini Eritrea baada ya kufungwa miaka 20 iliopita kutokana na mgogoro uliodumu bain aya mataifa hayo mawili kwa zaidi ya miungo miwili.

Rais wa Eritrea, rais wa Somalia na waziri mkuu wa Ethiopia  wamesaini mkataba wa  ushirikiano katika sekta ya uchumş, siasa,  ulinzi, jamii na utamaduni.

 Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed  ameshiriki katika hafla ya ufunguzi wa ubalozi wa Ethiopia mjini Asmara baada ya kufungwa tangu mwaka 1998 wakati wa vita  kati ya Ethiopia na Eritrea.

Rais wa Eritrea Isaias Afwerki  na viongozi wengine wa ngazi za juu wameshiriki katika hafla hiyo.Habari Zinazohusiana