Jean-Pierre Bemba azungumzia uchaguzi JK Kongo baada ya kuzuiliwa kushiriki

Kiongoni wa upinzani na  amakamu wa rais wa zamani JK Kongo Jean-Pierre Bemba amekemea hatua ya mahakama kumzuia kuwania kiti  cha urais katika uchaguzi

Jean-Pierre Bemba azungumzia uchaguzi JK Kongo baada ya kuzuiliwa kushiriki

Jeana-Pierre Bemba amesema kuwa  uchaguzi  mkuu  Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unaotarajiwa  mwishoni mwa mwaka  ni mzaha mtupu.

Hayo Bemba ameyazungumza  katika mahujiano aliofanya katika kituo kimoja cha habari cha Ufaransa tangu  kuzuiliwa na mahakama ya kikatiba kushiriki kaika uchaguzi mkuu JK Kongo.

Jean Pierre Bemba ni miongoni mwa wagombea 6 wa kiti cha urais waliozuiliwa kushiriki katika uchaguzi mkuu.Habari Zinazohusiana