Omar Hasan al-Bashir kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu Sudani mwaka 2020

Chama tawala nchini Sudani chamuidhinisha rais Omar Hasan al-Bashir kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu nchini humo mwaka 2020

Omar Hasan al-Bashir kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu Sudani mwaka 2020

Rais wa Sudani Omar Hasan al-Bashir  aidhinishwa  na baraza  la shura la chama tawala  nchini humo kuwania kiti cha urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika ifikapo mwaka 2020.

Omar Hasan al-Bashir ameteuliwa katika siku ya kwanza ya mkutano wa shura wa chama tawala nchini Sudani.

Omar al Bashir yupo madarakani nchini Sudani tangu mwaka 1989.

 Habari Zinazohusiana