Mke wa rais wa zamani wa Ivory Coast aachwa huru

Simone Gbagbo, mke wa rais wa zamani wa Ivory Coast aachwa huru bkwa msamaha wa rais

Mke wa rais wa zamani wa Ivory Coast aachwa huru

Mke wa rais wa zamani wa Ivory Coast  Simone Gbagbo aachwa huru  nchini humo baada ya rais Alassane Ouattara kutangaza msamaha wa rais . Msamaha huo wa rais ulitangazwa katika maadhmisho ya siku kuu ya uhuru nchini Ivory Coast.

Wafungwa 800  walitangazwa kupewa msamaha wa rais nchini Ivory Coast.

Msamaha huo wa rais umepingwa na mashirika 11  yanayotetea haki za binadamu. Simone Gbagbo  ameachwa huru Jumatano Agosti 8 baada ya kutumikia kifungo kwa muda wa miaka 7.Habari Zinazohusiana