Nkurunziza kutogombea katika uchaguzi ujao

Kwa sasa katiba inamruhusu rais kukaa madarakani kwa muda wa miaka saba badala ya mitano.

Nkurunziza kutogombea katika uchaguzi ujao

Rais Pierre Pierre Nkurunziza aliyeshutumiwa na madai ya kwamba amebadilisha katiba ili abaki madarakani mpaka 2034 ameshangaza watu kwa kutangaza ya kuwa hatogombea katika uchaguzi ujao wa 2020.

Kwa sasa katiba inamruhusu rais kukaa madarakani kwa muda wa miaka saba badala ya mitano.

Wananchi nchin Burundi walipiga kura na kupitsha mabadiliko katika katiba hiyo 19 Mei.

Kulingana na katiba ya zamani,rais alikuwa an uwezo wa kukaa madarakani kwa muda wa mihula miwili tu.

 Habari Zinazohusiana