Kura ya maoni kuhusu mabadiliko ya katiba Burundi

Raia wa burundi ikiwemo wale waishio  nchini uturuki wapiga kura ya maoni inayolenga kumpa madaraka rais kuongoza hadi mwaka 2034

Kura ya maoni  kuhusu mabadiliko ya katiba Burundi

Kura ya maoni imeandaliwa nchini Burundi kwa lengo la kufanyia mabadiliko katiba na raia wa nchi hiyo wanatakiwa kupiga kura kuchagua “NDIO” au “HAPANA” kufanyika katiba mabadiliko. Vituo vypte vya kupigia nchini Burundi  vimefunguliwa na raia tayari wameanza kupiga kura leo hii Alkhamis Mei 17.

Iwapo matokea ya kura hiyo ya maoni yatapitisha  mabadiliko ya katiba basi rais wa Burundi Pierre Nkurunzaza  atakuwa na fursa ya kuongoza taifa hilo  hadi mwaka 2034.

Warundi waishi ugenini ikiwemo nchini Uturuki wamejitokeza katika balozi za  Burundi kutimiza kujum lao kwa kushiriki katika zoezi hilo la upigaji kura.Habari Zinazohusiana