Kenya yarusha setilaite yake ya kwanza angani

Kenya yaingia katika vitabu vya historia kwa kurusha satallite yake ya kwanza angani

Kenya yarusha setilaite yake ya kwanza angani

Kenya yaingia katika vitabu vya historia kwa kurusha satallite yake ya kwanza angani kutokea nchini Japan.

Raia wa Kenya wamefuatilia tukio hilo moja kwa moja wakiwa njini Nairobi.  Satallite hiyo imetengezwa na wanasayansi kutoka katika chuo kikuu cha Nairobi wameshirikiano na wanasayansi kutoka katika shirika la JAXA la Japan.

Kufaulu kwa urushwaji wa satallite hiyo ni faraja kubwa kwa  wanasayanzi wa Kenya. Satallite hiyo imegharimu  kiwango cha fedha zaidi ya dola milioni.

Satallite hiyo itatumika kwa kutoa taarifa tofuati kwa manufaa kwa Kenya kama kutoa tahadhari katika kukabiliana na majanga, kutoa taarifa ambazo zitasaidia katika kilimo.Habari Zinazohusiana