Omar al-Bashir kuondoka madarakani

Rais Omar al Bashir asema kuwa ataondoka madarakani muhala wake utakapo malizika mwaka 2020

Omar al-Bashir kuondoka madarakani

Rais wa Sudan Omar al Bashir amefahamisha Jumatatu kuwa ataondoka madarakani muhala wake utakapo malizika ifikapo mwaka 2020.

Rais al Bashir ameseka kuwa ametoa ahadi kwa raia wa Suadn kuwa ataondoka madarakani wakati muhula wake wa kuongoza kama rais utakapo malizika.

Muhala wa kuongoza Sudan rais al Bashir utamalizika ifikapo mwaka 2020.

Rais al Bashir amewaambia raia kuwa atawaachia Sudan katika mikono yao na kuamchagua wamtakae.

Hayo rais wa Sudan alitazungumza katika mkutano na baraza la kitaifa la vijana mjini Khartoum.

 

 Habari Zinazohusiana