Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo yakumbwa na janga la kipindupindu

Watu zaidi ya 700 wafariki katika kipindi cha  miezi mitatu kutokana na kipindupindu

Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo yakumbwa na janga la kipindupindu

 

Watu zaidi ya 700 wameripotiwa kuafariki kutokana na janga la kipindupindi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Janga la kipiğndupindu limelipuka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Julai  mwaka 2017,.

Taarifa ziliztolewa na kituo cha habari cha Okapi şmefahamisha kuwa watu 771 walifariki kutokana na ugonjwa miongoni mwa wagonjwa 40 100 waliopelekwa hospitali.

Watu hao waliofariki, wamefariki katika kipindi kinachokaribia miezi mitatu.

 

 Habari Zinazohusiana