"Uchaguzi utafanyika licha ya Raila Odinga kujiondoa"

Kiongozi wa upinzani Kenya Raila Odinga atangaza kuwa muunganı wa NASA hautoshiriki katika marudio ya uchaguzi wa Oktoba 26

"Uchaguzi utafanyika licha ya Raila Odinga kujiondoa"

Upinzani wajiondoa katika marudio ya uchaguzi Kenya

Kiongozi wa upinzani Kenya Raila Odinga atangaza kuwa muunganı wa NASA hautoshiriki katika marudio ya uchaguzi wa Oktoba 26

Kiongozi wa muungano wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga ametangaza kuwa muungano wa NASA anaoongoza hautoshiriki katika uchaguzi mpya wa urais uliopangwa kufanyika ifikapo Oktoba 26 mwaka 2017.

Raila Odinga amesema kuwa hatoshiriki katika uchguzi huo iwapo tume ya uchaguzi haitofanyiwa marekebisho.

Rais Uhuru Kenyatta kwa upande wake amefahamisha kuwa uchaguzi utafanyika licha ya Raila kujiondoa katika marudio ya uchaguzi.Habari Zinazohusiana