Rais wa Congo-Brazzaville kununua silaha kwa waasi wa Ninjas

Rais wa Congo-Brazzille afahamisha kununua silaha kwa kundi la wanamgambo katika eneo la Pool

Rais wa Congo-Brazzaville kununua silaha kwa waasi wa Ninjas

Rais wa Congo-Brazzille afahamisha kununua silaha kwa kundi la wanamgambo katika eneo la Pool

Rais wa Congo –Brazzaville Denis Sassou Nguesso afahamisha kuwa anataraji kununua silaha kutoka kwa wanamgambo wanaopambana na uongozi wake katika eneo la Pool.

Rais Denis S. N amechukua hatua hiyo akiwa na nia ya kumaliza na kutatua  mzozo unaokumba eneo la Pool  Kusini mwa nchi hiyo kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja.

Rais Denis Sassou amefanya mazungumzo na uongozi wa eneo hilo.

Ghasia katika eneo hilo ni wanamgambo wa Ninjas wanaoongozwa na Frederic Bintsamou anaetambulika kwa jina la Pasta Ntomi  zimepelekea kudhoofika kwa hali ya uchumi na usafariki.Habari Zinazohusiana