Rais Kagame aahidi utendaji kazi baro zaidi baada ya kuidhinishwa kuwa mgombea kiti cha urais

Rais wa Rwanda Paul Kagame aahidi utendaji bora zaidi wa kazi baada ya kuidhinishwa na chama chake RPF kuwa mgombea katika uchaguzi mkuu

Rais wa Rwanda Paul Kagame aahidi utendaji bora zaidi wa kazi nchini Rwanda baada ya kuidhinishwa na chama tawala cha FPR kuwa mgombea katika uchagzui mkuu unaotarajiwa kufanyika nchini humo ifikapo Agosti.

Rais Kagame ameiidhinishwa na chama hicho kuwa mgombe Jumamosi Juni 17.

Katika siku za nyuma vyama vya upinzani  vilitangaza kumuunga mkono rais Paul Kagame katika uongozi wake.

Kampeni za uchaguzi zinatarajiwa kuanza ifikapo Julai.Habari Zinazohusiana